Japan International Cooperation Agency
Share
  • 日本語
  • English
  • Français
  • Espanol
  • Home
  • About JICA
  • News & Features
  • Countries & Regions
  • Our Work
  • Publications
  • Investor Relations

Shughuli katika Tanzania

Mradi wa Kuongeza Uwezo wa Usambazaji wa Maji na Usafi Vijijini

Aina Eneo Muda Shirika la Tanzania Gharama (Yen Mill.)
Ufundi Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara Juni 2007 -
Agosti 2010
Wizara ya Maji 280

picha

Kwa kuzingatia sera ya kupeleka madaraka mikoani nchini Tanzania, utekelezaji, uendeshaji na uangaliaji wa miradi ya usambazaji wa maji vijijini ulihamishwa kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwenda kwenye mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs). Hata hivyo, ilikuwa vigumu kwa mamlaka hizo kufanya udhibiti wa haraka wa miradi ya usambazaji wa maji vijijini kutokana na uzoefu mdogo.

Lengo la mradi huu lilikuwa ni kuimarisha uwezo wa kiutawala wa mamlaka hizo kwa kutoa mafunzo kwa wafanyakazi mmoja mmoja katika ngazi ya wilaya, na kuiwezesha Wizara ya Maji, Serikali za Mikoa na Ofisi za bonde la maji ambazo husaidia Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGA's).

Mradi ulizilenga Serikali za Mitaa 22 katika mikoa minne iliyopo katika maeneo mawili. Eneo moja ni Kusini Mashariki, ambako miundombinu ya usambazaji maji ilijengwa kuanzia mwaka 2003 hadi 2007 kupitia mradi wa msaada wa Wajapani. Eneo jingine ni lile la miji mikuu ambalo pia mradi ulitekelezwa (Maendeleo ya usambazaji wa maji katika maeneo ya Miji Mikuu).

Wataalamu wanne wa Kijapani walioletwa na JICA walihusika katika mradi huu.

PAGE TOP

Copyright © Japan International Cooperation Agency